top of page
Bwana John Vincent Mattaka ni Nani?
16:41
Fikrania
Bwana John Vincent Mattaka ni Nani?
Historia ya Maisha ya Kitaaluma na Kiutafiti ya Mgunduzi na Mtafiti (Mgufiti) John Vincent Mattaka. Mattaka ni mtafiti binafsi na wa kujitegemea wa njia mbadala, rahisi na bunifu za kujifunzia na kufundishia masomo mama: Hesabu/Hisabati, Kiingereza na Kiswahili. Bwana John V. Mattaka ni Mgunduzi wa Mfumo Mpya wa Tarakimu za Mguu-Ngazi Kofiani, yaani kwa Kiingereza: "Afro-Foot Level-Capped Digits System(Afro-FLCDs)". Tarakimu za Afro-FLCDs zinaleta tija ya kipekee katika kujifunza Hisabati K kivizio, kuanzia kizio cha mbili na kuendelea bila kikomo. Uelewa wa kivizio wa kujifunza hesabu na hisabati kidijitali unatarajiwa kuongeza kueleweka kwa somo la hisabati ili kuleta matokeo chanya kitaaluma, na matumizi ya mashine za ukokotoaji hususan katika tasnia za uhandisi wa kieletroniki na kompyuta.
Karibu Ujionee Ukokotoaji wa Kishosti wa Kizio cha Kumi Ujengao Uelewa wa Kivizio
01:01:17
Fikrania
Karibu Ujionee Ukokotoaji wa Kishosti wa Kizio cha Kumi Ujengao Uelewa wa Kivizio
Mifano niliyoitoa inakufahimisha baadhi za Mbinu Mbadala za Kujumlisha na Kutoa kwa uhusiano wa tarakimu Jumla Kumi, yaani wa 1 na 9, 2 na 8, 3 na 7, 4 na 6, 5 na 5, 0 na 10 yenyeyewe. Ni uelewa unaomwezesha ajifunzaye au afundishaye kujenga mbawa za kifikra zitakazomweshesha kuruka na kufanya hesabu na hisabati kwa vizio vingine vidogo na vikubwa zaidi ya kumi bila ukomo, yaani kuanzia kizio cha mbili na kuendelea, kwa kutumia tarakimu mpya za Mguu-Ngazi Kofiani(Afro-FLCDs) hususan kuanzia kizio cha 11 na kuendelea.

Our Resources

1. The Digits Trove Library

Discover the world's first open vault of alternative numeration wisdom.

 

Explore revolutionary digits system and interbase computation tools and methods, that challenge the limits of conventional mathematics  - designed to inspire minds, simplify mastery, and advance human progress and prosperity globally.

Artistic Expression

Dive into our resource library filled with materials that merge mathematics, language learning, and artistic expression. Enhance your skills and knowledge through our interactive tools.

Exploring Diverse Subjects

Explore our comprehensive resource library that caters to students, educators, parents, and lifelong learners. Discover a world of interdisciplinary educational content.

2. Language Power Packs

Where Tongues Meet Transformation

Dive into our blingual and trilingual learning modules based on adaptable geographical-specific mother tongues inclusion: say Kimakonde, Kiswahili, and English, Intuitively crafted for fast, natural fluency acquisition with academic-linguistic jargons.

language.PNG

Where Learning Sings and Knowledge Dances

Enjoy educationally enriched songs and other intellectually nutritious artistic products for memory, engagement, soul enthusing rhythm, and concepts comprehension - perfect for all ages and stages of learning.

Step into creative engine behind FKC+ Jeiviz King-MA.  From board games to smart, interbase arithmetic rulers, this space showcases our latest innovations, inventions, tools, and prototypes reshaping how the world learns.

bottom of page