Historia ya Maisha ya Mtafiti wa Njia Mbadala za Kujifunzia na Kufundishia Masomo Mama na Mgunduzi wa Mfumo wa Tarakimu Mpya za Mguu-Ngazi Kofiani.
- Fikrania

- May 23
- 1 min read
Bonyeza Link ya Video hapo chini ili ufahamu zaidi juu ya Njia Rahisi, Bunifu na Mbadala za Kujifunzia na Kufundishia Masomo Mama: Hesabu/Hisabati, Kiswahili na Kiingereza. Utasikiapia juu ya Ugunduzi wa Mfumo wa Tarakimu Mpya za Mguu-Ngazi Kofiani kutoka Afrika, yaani Afro-Foot Level Capped Digits System (Afro-FLCDs). Ni tarakimu zenye ufanisi mkubwa kwa elimu ya hisabati kivizio na ujifunzaji wa kidijitali unaotarajiwa kuleta tija isiyokatalika kwenye tasnia za teknolojia za elimu na kipogramu za kompyuta.
Hii ni Video yenye Historia ya Mgunduzi na Mtafiti {Mgufiti) John Vincent Mattaka.




Comments